Simple concepts, up to 600 words.
Palikuwa na familia moja ya watoto watatu watiifu. Ilikuwa shida kwani walikuwa watoto wa nta kwa hivyo walifanya shughuli zote usiku kwa kuhofia kuyeyushwa na jua kali. Lakini mvulana mmoja anatamani sana kuiona dunia mchana na hivyo anatoka na kutembea nje. Bila shaka, anayeyushwa na joto jingi la jua. Nduguze wanavunjika mioyo lakini wanapanga jinsi ya kumsaidia ndugu yao.
Hadithi hii inaelezea jinsi ambavyo upepo unavyotenda na athari zake kwetu.
Nchi ni kavu mno na Siafu Mdogo anahisi kiu. Anapoenda mtoni kutafuta maji, anapelekwa na mawimbi. Njiwa anaokoa maisha ya Siafu Mdogo. Ni vipi Siafu Mdogo anatoa shukurani zake kwa Njiwa?
Hadithi katika lugha mbili inayoelezea vitu vyote ambavyo msichana mdogo anafurahia kutenda.
Nguo zote za Nelima ni ndogo mno kwake. Atazifanyaje?
Mbeleni, tembo walikuwa na pua fupi, lakini, kwa ajili ya udadisi wa mtoto wa tembo, tembo wote walipata mikonga mirefu.
Katika sehemu za pori za Turkana, mwanamke anamwacha mtoto wake chini ya mti naye anaupanda mti kutafuta matunda. Mgeni alimwona mtoto akiwa peke yake. Je, mambo yanakuwa namna gani kwa mtoto?
Mama na baba wanapanda bustani. Pamoja familia inafanya kazi ya kupanda na kuvuna.
Hamisi alipokuwa akinunua sare ya shule na babake, alimwona mvulana aliyevaa shati la kijanikiwiti la kuvutia. Je, Hamisi atafaulu kumshawishi babake kumnunulia shati kama hilo?
Msichana anakwama kwenye jiwe na mamake anatafuta njia ya kumlinda. Lakini, Fisi mwenye tamaa, alikuwa na mpango wake mwenyewe.
Ebei na mamake wanasubiri basi kubwa ya bluu kuwasafirisha kwenda mjini. Lakini basi ya bluu iliharibika. Je, watawezaje kufika mjini?
Akai amefurahi kupata viatu vyake vipya vya kwanza.
By navigating this website, you agree to the storing of cookies on your device to enhance site navigation and analyze site usage.