Siku ya Kutembelea Kiwanja cha Michezo
Panya watatu ambao ni kaka wana hamu kubwa ya kutembelea kiwanja cha michezo. Wanaendesha vijigari vya watoto, wanakwenda kwenye Gurudumu la kuzunguka, na wanatembelea duka la kuuza baluni. Baada ya muda, wanagundua kwamba kaka yao mdogo sana hayuko! Yuko wapi?