Sungura ni wanyama wanaosumuliwa sana kwenye hadithi za Kiafrika.
Kisaa kuhusu familia ndogo ilioishi katikwa jangwa la Turkana, kaskazini magharibi nchini Kenya.
Hadithi yenye kuchemsha bongo juu ya utafutaji wa mahali pako duniani.
Namorutunga ni mahali pa kale Kenya penye nguzo 19 za mawe. Hadithi hii inaeleza jinsi mawe hayo yalikuja kuwepo mahali hapo.
Mtu na bibiye wanamzaa mtoto wa miujiza.
Wasichana wawili wadogo wanakwenda safari ya kutafuta chakula. Wote wanamkuta mwanamke mkongwe njiani, lakini ni mmoja tu anayekubali kumsaidia.
By navigating this website, you agree to the storing of cookies on your device to enhance site navigation and analyze site usage.