Kobe anaitafuta nyumba yake. Ataipata wapi?
Hadithi hii inaelezea kwa nini nguruwe wana pua pana lililo sawasawa. Inatufunza nini tena?
Wasichana wawili wadogo wanakwenda safari ya kutafuta chakula. Wote wanamkuta mwanamke mkongwe njiani, lakini ni mmoja tu anayekubali kumsaidia.
Namorutunga ni mahali pa kale Kenya penye nguzo 19 za mawe. Hadithi hii inaeleza jinsi mawe hayo yalikuja kuwepo mahali hapo.
Mtu na bibiye wanamzaa mtoto wa miujiza.
Msichana huyu mdogo anakua akiwa na mkeka wa ajabu. Mkeka wa Akai unamkinga kutokana na hatari na kwa usaidizi wa ndege mdogo, anafaulu kupata njia na kurudi nyumbani baada ya kupotea milimani.
By navigating this website, you agree to the storing of cookies on your device to enhance site navigation and analyze site usage.