Kobe anaitafuta nyumba yake. Ataipata wapi?
Hadithi hii inaelezea kwa nini nguruwe wana pua pana lililo sawasawa. Inatufunza nini tena?
Wasichana wawili wadogo wanakwenda safari ya kutafuta chakula. Wote wanamkuta mwanamke mkongwe njiani, lakini ni mmoja tu anayekubali kumsaidia.
Namorutunga ni mahali pa kale Kenya penye nguzo 19 za mawe. Hadithi hii inaeleza jinsi mawe hayo yalikuja kuwepo mahali hapo.
Mtu na bibiye wanamzaa mtoto wa miujiza.
Hadithi yenye kuchemsha bongo juu ya utafutaji wa mahali pako duniani.
By navigating this website, you agree to the storing of cookies on your device to enhance site navigation and analyze site usage.