Mbwa anakuta mayai kando ya mto na kuyapeleka nyumbani. Je, mama mamba atasemaje atakapogundua?
Mama anaenda hospitalini kujifungua mtoto na bintiye anamwandikia barua.
Fahali anafanya kazi ngumu lakini Punda hamuamini.
Hadithi inaonyesha nguvu za upepo.
Jumamosi moja alasiri watoto watatu wanaenda kucheza karibu na mto. Wanapotaka kwenda nyumbani tena, hawazipati nguo zao. Watajielezaje kwa mamao?
Hadithi hii inatuonyesha sababu sungura anakimbia kwa kasi na jinsi alivyomdanganya rafikiye tembo.
By navigating this website, you agree to the storing of cookies on your device to enhance site navigation and analyze site usage.