Msichana anakwama kwenye jiwe na mamake anatafuta njia ya kumlinda. Lakini, Fisi mwenye tamaa, alikuwa na mpango wake mwenyewe.
Akai amefurahi kupata viatu vyake vipya vya kwanza.
Katika sehemu za pori za Turkana, mwanamke anamwacha mtoto wake chini ya mti naye anaupanda mti kutafuta matunda. Mgeni alimwona mtoto akiwa peke yake. Je, mambo yanakuwa namna gani kwa mtoto?
Mvulana mdogo alitumwa dukani na bibiye kununua vitu vichache. Anaambatana na rafikiye na kucheza mpira. Je, atampelekea bibi alichotumwa?
Mama na baba wanapanda bustani. Pamoja familia inafanya kazi ya kupanda na kuvuna.
Ebei na mamake wanasubiri basi kubwa ya bluu kuwasafirisha kwenda mjini. Lakini basi ya bluu iliharibika. Je, watawezaje kufika mjini?
By navigating this website, you agree to the storing of cookies on your device to enhance site navigation and analyze site usage.