Easy words, word repetition, less than 250 words
Wanyama mbali mbali wana meno tofauti.
Marafiki wanafanya mambo tofauti pamoja.
Mbwa anakuta mayai kando ya mto na kuyapeleka nyumbani. Je, mama mamba atasemaje atakapogundua?
Mvulana mdogo anajipata mtaani pamoja na watoto wengine wanaorandaranda. Katika hali ya kujitafutia, anakutana na mtu ambaye anabadilisha maisha yake.
Hadithi inasimulia matendo msichana mdogo anayafanya ambayo yanafanya kuwa mashuhuri. Je, kwa nini?
Wanyama wote wana kiu. Wahesabu wanapoenda kunywa maji.
Hii ni hadithi ya Kuku na Jongoo (kiwango cha 4), ambayo imebadilishwa kufaa kiwango cha 1.
Kulinganisha vitu vikubwa na vidogo.
Jumamosi moja alasiri watoto watatu wanaenda kucheza karibu na mto. Wanapotaka kwenda nyumbani tena, hawazipati nguo zao. Watajielezaje kwa mamao?
Mitungo inayochunguza hisia na kinachowafanya watu kukasirika, kufurahi au kuhuzunika.
Mama anaenda hospitalini kujifungua mtoto na bintiye anamwandikia barua.
By navigating this website, you agree to the storing of cookies on your device to enhance site navigation and analyze site usage.